Kuna ajali mbaya sana hapa kona ya Mikumi ikilihusisha basi la Taqwa.
Basi lililosaidia kubeba Majeruhi kupelekwa Mikumi hospital ni Princess Muro.
Basi lilikuwa ikijaribu ku overtake Lorry.
Ukiangalia vizuri utaona Mbao zimeingia kwenye basi hapo mbele.ANGALIA PICHA ZAIDI