0Kuna aliyebanwa hapa...
Zinafanyika jitihada za kuchimba kumwokoa.Inasikitisha na kutia matumaini kumwona aliyebanwa kuanzia kiuno kwenda miguuni naye anajitahidi kuchimba kwa mikono. Ajali hii nimeikuta muda mfupi baada yaimetokea saa moja na nusu iliyopita maeneo ya Melela. Km 30 kutoka Morogoro. Bus la Hood kutoka Mbeya kuelekea Arusha ndilo lililopata ajali.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Post a Comment Blogger

[Entertainment][hot][recent][3]

 
Top