PICHA ZA MAPOKEZI YA FEZA KESSY UWANJA WA NDEGE DAR


Mwakilishi wa Tanzania katika jumba la Big Brother 'The Chase' aliyetolewa Jumapili Agosti 11 Feza Kessy amewasili leo jioni Tanzania katika uwanja wa kimataifa wa Mwl J.K Nyerere jijini Dar es Salaam.

Katika mapokezi watu mbalimbali walijitokeza kumpokea Feza Kessy akiwemo Vanessa Mdee,Mama mzazi wa Feza kessy,ndugu jamaa na marafiki pamoja na Meneja wa Uhusiano wa Multichoice Tanzania 'Barbara'.


 Rafiki wa karibu sana na Feza anayejulikana kwa jina la Vanessa Mdee nae alikuwepo kumpokea rafiki yake.


PICHA ZA MAPOKEZI YA FEZA KESSY UWANJA WA NDEGE DAR PICHA  ZA MAPOKEZI YA FEZA KESSY UWANJA WA NDEGE DAR  Reviewed by Ally Salum on 06:27 Rating: 5
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

No comments:

Bofya hii PICHA kudownload APPLICATION YA The Choice

Powered by Blogger.