Angalia PICHA....RAIS KIKWETE AONGOZA MAZISHI YA BI KIDUDE
Picha za mazishi ya Bi. Kidude. Viongozi wa serikali kama rais Jakaya Kikwete, rais wa Zanzibar Ali sheni, makamu wa kwanza wa rais wa Zanzibar maalim Seif Sharif Hamad, na wasanii kama Mzee Yusuf, Diamond Platnumz, nk walikua miongoni mwa wahudhuriaji katika kumsindikiza gwiji huyo wa Taarabu katika safari yake ya mwisho.


Angalia PICHA....RAIS KIKWETE AONGOZA MAZISHI YA BI KIDUDE Angalia PICHA....RAIS  KIKWETE AONGOZA MAZISHI YA  BI  KIDUDE Reviewed by Ally Salum on 07:36 Rating: 5
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

No comments:

Powered by Blogger.