PinPoint Ad

11 February 2013

ANGALIA PICHA......... MAJERUHI WA VURUGU ZILIZOTOKEA GEITA KATI YA WAISLAM NA WAKRISTU LEO


Majeruhi Abdalah Ibarihim akiwa amejeruhiwa vibaya baada ya kukatwa mapnga kichwani na watu wanaodaiwa kuwa ni Wakristo.Huyu naye ni majeruhi aliyetambuliwa kwa jina la Steven Andrea (34)
ambaye anadaia kujeruhiwa na watu wanaosadikiwa kuwa ni waislamu.
Naomba Maoni yako hapa