UGOMVI kati ya SINTA na EDDO KUMWEMBE waanza. Chanzo OKWII


SINTA AJIBU MAPIGO KWA STAHILI HII


sexy

chonde chonde msiniweke ktk BBM zenu (Busy bila mchongo)
wewe kama mwanamke usiji force kwa mwanamme muache mwenyewe aseme lol,
unataka kupambana na mimi lolest i get paid in everything i do mammy  what about u??
heeee siwezi kumgombea starring wa kihindi hata siku moja banaaa,aisee niajeee
mniwache,wenzangu hamshangai wenzangu,mkinitusi siumii wenzangu coz nipo steady
kama mnampenda starring wa kihindi (Govinda)basi mpelekeni hospital  akakatweee jamani chinekeee muniwache,
mnanipenda sana ndo maana mnaniweka status zenu bbm ,
jamaniiii mambo yangu na starring wa kihindi msiinglile kabisaaa (Govinda).
eti kuna muandishi mmoja anayewashwa kaandika fb eti starring anachezea National team so whatttt? eti what about j wake lo.
heee ndugu muandishi kabla sijatoa my credentials naomba uchunguze my family background  halafu nikwambie, mimi hata nisipofanya kazi mwaka haaaaaaaaa my family will support me what about you.
wewe muandishi  Edo  whatever you call your self jipange wewe muondoe mwenzio funza kwanza ndio uongee na mimi.
Edo
you can remove someone in the village but you cannot remove the village out of him so weweee kidudu mtu nenda Soroti kaulize usikae kuongea fwaaaaah.
wewe kama muandishi uwe una balance, by the way next time don bother to call me coz i will blast u, haaaaa angalia kiatu chako kisiishe kwa uongo na kujipendekeza mmmh.
Edo your so yesterday hayoooo mambo yalikuwa zamani waandishi wa siku hizi wame advance bwana grow up.
facebook imebaki watoto wa o’level, mabeki tatu na wacheza mdako. groove yaself to the matured level of social media kama huzijui nitafute kwa muda wako nikwambie.

jlo in EA
Nothing but confidence
lope lope of all trades
maji
unstoppable
UGOMVI kati ya SINTA na EDDO KUMWEMBE waanza. Chanzo OKWII UGOMVI kati ya SINTA na EDDO KUMWEMBE waanza. Chanzo OKWII Reviewed by Ally Salum on 03:26 Rating: 5
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Bofya hii PICHA kudownload APPLICATION YA The Choice

Powered by Blogger.