Nilikuwa  busy napekua katika mitandao  kadhaa...Kusema kweli nilipatwa  na  mshangao  mkubwa  baada  ya  kuinasa  picha  ya afande live  ikizagaa katika mitandao ya  udaku......

Kwa kweli sina lolote  la  kusema  na sijui  alizipiga lini na  kwa lengo  gani.....Naamini  gazeti la AMANI  lina data  kamili.

CHANZO FREE BONGO BLOG
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

[Entertainment][hot][recent][3]

 
Top